Zab. 20:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akujibu siku ya dhiki,Jina la Mungu wa Yakobo likuinue.

2. Akupelekee msaada toka patakatifu pake,Na kukutegemeza toka Sayuni.

Zab. 20