Ni za kutamanika kuliko dhahabu,Kuliko wingi wa dhahabu safi.Nazo ni tamu kuliko asali,Kuliko sega la asali.