7. Huwafanyia hukumu walioonewa,Huwapa wenye njaa chakula;BWANA hufungua waliofungwa;
8. BWANA huwafumbua macho waliopofuka;BWANA huwainua walioinama;BWANA huwapenda wenye haki;
9. BWANA huwahifadhi wageni;Huwategemeza yatima na mjane;Bali njia ya wasio haki huipotosha.