Zab. 130:1-4 Swahili Union Version (SUV) Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia. Bwana, uisikie sauti yangu.Masikio yako na yaisikilizeSauti ya dua zangu.