Zab. 129:4-7 Swahili Union Version (SUV)

4. BWANA ndiye mwenye haki,Amezikata kamba zao wasio haki.

5. Na waaibishwe, warudishwe nyuma,Wote wanaoichukia Sayuni.

6. Na wawe kama majani ya dariniYanyaukayo kabla hayajamea.

7. Ambayo mvunaji haujazi mkono wake,Wala mfunga miganda kifua chake.

Zab. 129