Zab. 128:3-5 Swahili Union Version (SUV)

3. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao,Vyumbani mwa nyumba yako.Wanao kama miche ya mizeituniWakiizunguka meza yako.

4. Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA.

5. BWANA akubariki toka Sayuni;Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;

Zab. 128