Zab. 118:18-21 Swahili Union Version (SUV) BWANA ameniadhibu sana,Lakini hakuniacha nife. Nifungulieni malango ya haki,Nitaingia na kumshukuru BWANA.