Zab. 109:29-30 Swahili Union Version (SUV)

29. Washitaki wangu watavikwa fedheha,Watajivika aibu yao kama joho.

30. Nitamshukuru BWANA kwa kinywa changu,Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.

Zab. 109