Yos. 4:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo BWANA akanena na Yoshua, akamwambia,

2. Haya, twaeni watu waume kumi na wawili katika hao watu, kila kabila mtu mmoja,

Yos. 4