Ole wako! Ee Moabu,Watu wa Kemoshi wamepotea;Maana wana wako wamechukuliwa mateka,Na binti zako wamekwenda utumwani.