Utawezaje kutulia,Ikiwa BWANA amekupa agizo?Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani,Ndipo alipoyaamuru hayo.