Ee binti ukaaye katika Misri,Ujiweke tayari kwenda zako hali ya kufungwa;Kwa maana Nofu utakuwa ukiwa,Utateketezwa, usikaliwe na watu.