Yer. 42:10 Swahili Union Version (SUV)

Ikiwa mtakaa bado katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang’oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda.

Yer. 42

Yer. 42:5-17