Wana-simba wamenguruma juu yake,wametoa sana sauti zao;Nao wameifanya nchi yake kuwa ukiwa;miji yake imeteketea, haina watu.