Twende mapema hata mashamba ya mizabibu,Tuone kama mzabihu umechanua,Na maua yake yamefunuka;Kama mikomamanga imetoa maua;Huko nitakupa pambaja zangu.