Hua wangu, mkamilifu wangu, ni mmoja tu,Mtoto wa pekee wa mamaye.Ndiye kipenzi chake aliyemzaa,Binti wakamwona wakamwita heri;Malkia na masuria nao wakamwona,Wakamsifu, wakisema,