Wim. 4:11 Swahili Union Version (SUV)

Bibi arusi, midomo yako yadondoza asali,Asali na maziwa vi chini ya ulimi wako;Na harufu ya mavazi yakoNi kama harufu ya Lebanoni.

Wim. 4

Wim. 4:9-15