Wim. 3:10 Swahili Union Version (SUV)

Nguzo zake alizifanyiza za fedha,Na mgongo wake wa dhahabu,Kiti chake kimepambwa urujuani,Gari lake limenakishiwa njumu,Hiba ya binti za Yerusalemu.

Wim. 3

Wim. 3:1-10