Kama mpera kati ya miti ya msituni,Kadhalika mpendwa wangu kati ya vijana.Naliketi kivulini mwake kwa furaha,Na matunda yake naliyaonja kuwa matamu.