Ufu. 3:1 Swahili Union Version (SUV)

Na kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi andika;Haya ndiyo anenayo yeye aliye na hizo Roho saba za Mungu, na zile nyota saba. Nayajua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hai, nawe umekufa.

Ufu. 3

Ufu. 3:1-6