Ufu. 22:20-21 Swahili Union Version (SUV)

20. Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu.

21. Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.

Ufu. 22