31. bali Israeli wakiifuata sheria ya haki hawakuifikilia ile sheria.
32. Kwa sababu gani? Kwa sababu hawakuifuata kwa njia ya imani, bali kana kwamba kwa njia ya matendo. Wakajikwaa juu ya jiwe lile likwazalo,
33. kama ilivyoandikwa,Tazama, naweka katika Sayuni jiwe likwazalo, na mwamba uangushao;Na kila amwaminiye hatatahayarika.