Lakini nasema, Je! Waisraeli hawakufahamu? Kwanza Musa anena,Nitawatia wivu kwa watu ambao si taifa,Kwa taifa lisilo na fahamu nitawaghadhibisha.