Omb. 1:7 Swahili Union Version (SUV)

Siku za mateso na misiba yake,Yerusalemu huyakumbuka matamaniko yake yoteYaliyokuwa tangu siku za kale;Hapo watu wake walipoanguka mikononi mwa mtesi,Wala hakuna hata mmoja wa kumsaidia;Hao watesi wake walimwona,Wakafanya sabato zake kuwa mzaha.

Omb. 1

Omb. 1:1-15