49. wana wa Hanani, wana wa Gideli, wana wa Gahari;
50. wana wa Reaya, wana wa Resini, wana wa Nekoda;
51. wana wa Gazamu, wana wa Uza, wana wa Pasea;
52. wana wa Besai wana wa Meunimu, wana wa Nefusimu;
53. wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri;
54. wana wa Basluthi, wana wa Mehida, wana wa Harsha;
55. wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema;