Neh. 7:14-17 Swahili Union Version (SUV)

14. Wana wa Zakai, mia saba na sitini.

15. Wana wa Binui, mia sita arobaini na wanane.

16. Wana wa Bebai, mia sita ishirini na wanane.

17. Wana wa Azgadi, elfu mbili mia tatu ishirini na wawili.

Neh. 7