Mwa. 8:22 Swahili Union Version (SUV)

Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi na wakati wa hari, wakati wa kaskazi na wakati wa kusi, mchana na usiku, havitakoma.

Mwa. 8

Mwa. 8:17-22