Mwa. 8:20 Swahili Union Version (SUV)

Nuhu akamjengea BWANA madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.

Mwa. 8

Mwa. 8:14-22