Mwa. 5:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Sethi akaishi baada ya kumzaa Enoshi miaka mia nane na saba, akazaa wana, waume na wake.

8. Siku zote za Sethi ni miaka mia kenda na kumi na miwili, akafa.

9. Enoshi akaishi miaka tisini, akamzaa Kenani.

Mwa. 5