Yuda, ndugu zako watakusifu,Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako.Wana wa baba yako watakuinamia.