Akayaacha yote aliyokuwa nayo mkononi mwa Yusufu; wala hakujua habari za kitu cho chote chake, ila hicho chakula alichokula tu.Naye Yusufu alikuwa mtu mzuri, na mwenye uso mzuri.