Mwa. 30:1 Swahili Union Version (SUV)

Naye Raheli alipoona ya kuwa hamzalii Yakobo mwana, Raheli alimwonea ndugu yake wivu. Akamwambia Yakobo, Nipe wana; kama sivyo, nitakufa mimi.

Mwa. 30

Mwa. 30:1-6