Mwa. 27:6-8 Swahili Union Version (SUV)

6. Rebeka akamwambia Yakobo mwanawe, akisema, Angalia, nimemsikia baba yako akisema na Esau, ndugu yako, akinena,

7. Niletee mawindo, ukanifanyie chakula kitamu ili nile, na kukubariki mbele za BWANA kabla ya kufa kwangu.

8. Basi, mwanangu, sikiliza sauti yangu kama nitakavyokuagiza.

Mwa. 27