Mwa. 25:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ibrahimu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura.

2. Akamzalia Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua.

Mwa. 25