Mwa. 22:22-24 Swahili Union Version (SUV)

22. na Kesedi, na Hazo, na Pildashi, na Yidlafu, na Bethueli.

23. Bethueli akamzaa Rebeka; hao wanane Milka alimzalia Nahori ndugu wa Ibrahimu.

24. Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.

Mwa. 22