Mwa. 19:26-28 Swahili Union Version (SUV)

26. Lakini mkewe Lutu akatazama nyuma yake, akawa nguzo ya chumvi.

27. Ibrahimu akatoka asubuhi kwenda mahali aliposimama mbele za BWANA,

28. naye akatazama upande wa Sodoma na Gomora na nchi yote ya hilo Bonde, akaona, na tazama, moshi wa nchi ukapanda, kama moshi wa tanuru.

Mwa. 19