Mwa. 11:14-16 Swahili Union Version (SUV) Sela akaishi miaka thelathini, akamzaa Eberi. Sela akaishi baada ya kumzaa Eberi miaka mia nne na mitatu, akazaa