Mt. 8:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.

2. Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.

3. Yesu akanyosha mkono, akamgusa, akisema Nataka; takasika. Na mara ukoma wake ukatakasika.

Mt. 8