Mt. 7:28-29 Swahili Union Version (SUV)

28. Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake;

29. kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi wao.

Mt. 7