Mt. 6:1 Swahili Union Version (SUV)

Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.

Mt. 6

Mt. 6:1-9