Mt. 4:12-14 Swahili Union Version (SUV)

12. Basi Yesu aliposikia ya kwamba Yohana amefungwa, alikwenda zake mpaka Galilaya;

13. akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;

14. ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,

Mt. 4