Mt. 27:48-50 Swahili Union Version (SUV)

48. Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.

49. Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.

50. Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

Mt. 27