Mt. 24:29 Swahili Union Version (SUV)

Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika;

Mt. 24

Mt. 24:26-33