Mt. 24:10-13 Swahili Union Version (SUV)

10. Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.

11. Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.

12. Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.

13. Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

Mt. 24