Mt. 23:38-39 Swahili Union Version (SUV)

38. Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.

39. Kwa maana nawaambia, Hamtaniona kamwe tangu sasa, hata mtakaposema, Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.

Mt. 23