Mt. 22:22-24 Swahili Union Version (SUV)

22. Waliposikia, walistaajabu, wakamwacha, wakaenda zao.

23. Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,

24. wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao.

Mt. 22