Mt. 22:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mithali, akisema,

2. Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.

Mt. 22