Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda,Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda;Kwa kuwa kwako atatoka mtawalaAtakayewachunga watu wangu Israeli.