Mt. 19:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Uyahudi, ng’ambo ya Yordani.

2. Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.

3. Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?

Mt. 19