Mt. 18:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema,

2. Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao,

3. akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

Mt. 18